LIVE STREAM ADS

Header Ads

WATOTO HUSONONEKA MIOYONI MWAO IKIWA WAZAZI AMA WALEZI WAO SI NADHIFU.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Leo tuangazie wazazi/walezi wa kike ambao si nadhifu. Hawapendi kuvaa vizuri kwa kisingizio cha ukata. Fahamu kwamba mnawasononesha watoto wenu. 

Watoto wanapenda wazazi/walezi nadhifu ila wakikuta mzazi/mlezi ambae si nadhifu basi huishia kusononeka mioyo mwao kutokana na kushindwa kuwaambia ukweli.
Usimsononeshe mwanao, fika Mikaela Professional Tailors, upendeze kwa gharama nafuu.
Kwa mahitaji ya ushonaji wa nguo za aina zote (Me na Ke), Wasiliana na Mikaela Professional Tailor ambao ni mabingwa wa kubuni na kushona nguo Jijini Mwanza kwa nambari za simu 0767 68 28 88. Wanapatikana Ghana GreenView barabara ya Airport.

No comments:

Powered by Blogger.