LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAZAMA UJENZI WA SOKO JIPYA KATIKA MANISPAA YA ILEMELA MKOANI MWANZA ULIPOFIKIA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Hili ni Soko Jipya la Sabasaba lililopo katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza. Kukamilika kwa ujenzi wa Soko hili ni ahueni kwa wafanyabiashara ndogo ndogo na wa kati pamoja na wateja wao kwani wataweza kuuza bidhaa zao ikiwemo vitoweo kwa hali ya Usafi. Soko hili liko mbioni kukamilika kwa ajili ya kuanza kutumika.
Kwa sasa hili ndilo soko la wafanyabiashara wa Sabasaba. Hakika wana hamu kubwa na kukamilika kwa soko jipya.
Wanang'wanza wakichagua kitoweo

No comments:

Powered by Blogger.