KWAYA YA KANISA LA GILGAL PASIANSI JIJINI MWANZA KUFANYIKA UZINDUZI WA ALBAM YAKE MPYA HIII LEO.
Kanisa la Gilgal Christian Ministries International, lililopo Pasiansi Ilemela jijini Mwanza, linawakaribisha watu wote katika Uzinduzi wa albamu Mpya ya “Nayajua Mawazo” iliyoimbwa na Kwaya ya kanisa hilo ijulikanayo kama “Gilgal Choir”.
Uzinduzi huo wa Kihistoria unafanyika hii leo jumapili june 12, 2016 kuanzia saa nane mchana katika viwanja vya kanisa hilo, ambapo hakuna kiingilio, yaani watu wote watashuhudia uzinduzi huo BURE kabisa.
No comments: