LIVE STREAM ADS

Header Ads

MANARA AZUNGUMZA NA WANAHABARI JIJINI MWANZA

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Na George Binagi-GB Pazzo
Msemaji wa Simba Haji Manara kazungumza na waandishi wa habari Jijini Mwanza, na kufafanua masuala mengi kuhusiana na timu hiyo ikiwemo mchezo wao ujao dhidi ya Stand United ya Shinyanga pamoja na uvumi wa timu hiyo kumtimua kocha wake mkuu Joseph Omogi ikiwa Simba haitashinda mechi zake tazo zijazo.

Msemaji wa timu ya Simba, Haji Manara (kulia) akizungumza na waandishi wa habari hii leo Jijini Mwanza. Kushoto ni Said Tully ambaye ni Mjumbe Kamati Tendaji Simba
Msemaji wa timu ya Simba, Haji Manara (kulia) akizungumza na waandishi wa habari hii leo Jijini Mwanza. Kushoto ni Said Tully ambaye ni Mjumbe Kamati Tendaji Simba
Waandishi wa habari Jijini Mwanza
Waliokaa ni viongozi wa timu ya Simba, Said Tully ambaye ni Mjumbe Kamati Tendaji Simba, Msemaji wa Simba Haji Manara na Mratibu wa SimbaAbbas Ally wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari Jijini Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.