DUH! Kiongozi wa Mwenge alivyowageuzia kibao viongozi
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mwenge wa
Uhuru Mei 15, 2019 katika Halmashauri ya Wilaya Sengerema uliweka jiwe la
msingi mradi wa maji Kijiji cha Busisi, kukagua uendelevu wa kisima kirefu cha
maji Nyamasale, kuzindua klabu ya kupinga rushwa katika Shule ya Sekondari
Lusikwe.
Pia ukaweka
jiwe la msingi ujenzi wa Shule ya Msingi Kachuo, maabara ya uzalishaji
vifaranga vya samaki Chamabanda huku miradi miwili ambayo ni ujenzi wa jengo la
wazazi katika Zahanati ya Kasenyi pamoja na barabara ya Igaka-Buzilasoga kwa
kiwango cha moramu ikikataliwa.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: