Header Ads

#LIVE kutoka IKULU/ kuapishwa viongozi wapya/ kupokea mrahaba kutoka Airtel

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Hafla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kuwaapisha viongozi wafuatao wapya ambao ni Innocent Lugha Bashungwa (Mb) kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Edward Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa Njombe, Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Pia Rais Magufuli anashuhudia kuanza kupokelewa kwa fidia za kila mwezi kutoka kampuni ya Bharti Airtel na kupokea mchango binafsi wa Mwenyekiti wa kampuni hiyo, Sunil Mittal kwa ajili ya ujenzi wa Hospital ya Uhuru Ihumwa jijini Dodoma.
Tazama BMG Online TV hapa chini
#PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.