Header Ads

Wanahabari na Wahariri Tanzania waishauri TANAPA kuhusu Kisiwa cha Saanane

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Fuatilia ziara ya Wanahabari na Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya Habari nchini Tanzania waliyoifanya katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane kilichopo ndani ya Ziwa Victoria jijini Mwanza, iliyoratibiwa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Jumamosi Julai 06, 2019.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.