LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kuna watu wanapotosha zoezi la uandikishaji wapiga Kura- Mongella

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella Oktoba 11, 2019 akihamasisha wananchi wilayani Sengerema kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wakazi la wapiga Kura ili kupata fursa ya kushiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24, 2019. Zoezi la uandikishaji linaendelea kwa juma moja kuanzia tarehe 08-14 Oktoba 2019.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.