Watakaojaribu kuficha sukari waonywa
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa
Mwanza, John Mongella Jumamosi Aprili 25, 2020 amekagua maghara ya sukari
jijini Mwanza na kuonya kwamba yeyote atakayejaribu kuficha bidhaa hiyo muhimu
atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya VH. Shah, Pravin Shah inayosambaza sukari mikoa ya Kanda ya Ziwa baada ya kutembelea ghara la kampuni hiyo jijini Mwanza.
Sehemu ya shehena ya sukari iliyo katika ghara la kampuni ya VH. Shah jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: