Mwanza “Mongella apokea vifaa vya kujikinga na Corona”
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa
Mwanza, John Mongella amepokea vifaa mbalimbali vitakavyogawiwa bure katika
maeneo ya umma kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi
vya Corona (Covid- 19).
Mongella
amepokea vifaa hivyo Alhamisi Aprili 16, 2020 vikijumuisha ndoo za maji na sabuni
kwa ajili ya kunawia mikono ambapo msaada huo umetolewa na wadau kutoka taasisi
mbalimbali ikiwemo Swaminarayan Temple Tanzania, Nyanza Road Works, Nyanza
Bottles (Cocacola), Siri Guru Singh Sabha Mwanza, Hindu Union Temple Mwanza
pamoja na Henan Afro-Asia Geo-Engireering (T) Company Limited.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Vifaa mbalimbali kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya Corona mkoani Mwanza.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akipokea vifaa vya kujikinga na Corona kutoka kwa wadau wa maendeleo.
Vifaa mbalimbali vya kujikinga na Corona vilivyotolewa na wadau mkoani Mwanza.
Vifaa mbalimbali vya kujikinga na Corona vilivyotolewa na wadau mkoani Mwanza.
Vifaa mbalimbali ikiwemo ndoo za maji vilivyotolewa na wadau mkoani Mwanza.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akipokea vifaa vya kujikinga na Corona kutoka kwa wadau wa maendeleo.
Wananchi wametakiwa kuzingatia taratibu zinazotolewa na wataalamu wa afya ili kujikinga na maambukizi ya Corona.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akipokea vifaa vya kujikinga na Corona kutoka kwa wadau wa maendeleo.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Viongozi waliohudhuria hafla fupi ya kupokea vifaa hivyo wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na Corona
No comments: