LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwanza watakiwa kushiriki zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura awamu ya pili linalotarajiwa kufanyika kwa siku tatu mfululizo kuanzia Ijumaa Aprili 17 hadi Jumapili Aprili 19, 2020.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.