LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la Plan International lakabidhi vifaa vya kupambana na Corona

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Meneja Programu wa Shirika la Plan Internation Mkoa Mwanza, Dkt. Majani Rwambali (wa kwanza kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto) vifaa tiba mbalimbali kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya virusi vya Corona (Covid- 19).
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amewahimiza wananchi kujitahidi kuvaa barakoa wanapokuwa kwenye maeneo mbalimbali hususani yenye mikusanyiko ikiwa ni sehemu ya jitihada za kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona (Covid-19).

RC Mongella ametoa rai hiyo Jumanne Aprili 28, 2020 wakati akipokea vifaa kinga mbalimbali vya kusaidia mapambano dhidi ya virusi vya Corona vilivyotolewa na Shirika la Plan International vyenye thamani ya shilingi Milioni 33 (Tsh. 33,235,000).
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.