Tutaishinda Corona “tufuate masharti”- RC Mongella
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa
Mwanza, John Mongella (kushoto) amewasihi wananchi kuendelea kuchapa kazi huku
wakizingatia masharti ya kiafya hatua ambayo itasaidia mapambano dhidi ya
Corona kuzaa matunda.
“Kama Rais
wetu alivyotutia moto, Corona tutaishinda tu. Tufuate masharti ya wataalamu
wetu wa afya, tufanye kazi, tufanye mazoezi na vile vile tupige nyungu”
Mongella aliyasema hayo Mei 14, 2020 wakati akipokea msaada wa matenki ya maji
kutoka kampuni ya Motsan kupitia chapa yake ya Kiboko.
#BMGHabari
#BMGHabari
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na Corona
No comments: