LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mongella akagua maandalizi ya ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Fela hadi Isaka

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amekagua maandalizi ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kuanzia eneo la Fela Wilaya Misungwi hadi Isaka Wilaya Kahama na kuridhishwa na maandalizi hayo huku akiwataka wananchi watakaopata fursa ya kufanya kazi kwenye mradi huo kutimiza majukumu yao kwa uaminifu.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa sita kulia) pamoja na viongozi mbalimbali akikagua maandalizi ya ujenzi wa mradi huo.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alimshukuru Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuhakikisha anakamilisha kwa wakati miradi yote ya kimkakati ikiwemo reli ya kisasa iliyoachwa na mtangulizi wake, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.