LIVE STREAM ADS

Header Ads

Chalamila amshukuru Rais Samia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
"Ndugu zangu wana Iringa nimerudi salama. Nimshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa mapenzi yake ya kuniteua na kunitengua. Kutenguliwa kwangu kusiwasononeshe, bali tuungane tena kusukuma gurudumu la Chama (CCM) na Serikali kwa kuwaunga mkono viongoz wetu ili kutimiza malengo ya maendeleo kwa wananchi" Albert John Chalamila aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.