Jumuiya ya LVRLAC yatakiwa kubuni miradi ya maendeleo
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Rai hiyo imetolewa Februari 25, 2022 na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Gerald Mweli wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 17 wa LVRLAC Kanda ya Tanzania uliofanyika jijini Mwanza.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Gerald Mweli akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya LVRLAC Kanda ya Tanzania uliofanyika jijini Mwanza Februari 25, 2022.
Viongozi mbalimbali wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa LVRLAC Kanda ya Tanzania uliofanyika jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya LVRLAC Kanda ya Tanzania, William Gumbo akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika Februari 25, 2022 jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa ALAT Taifa, Murishidi Ngeze akifungua Mkutano wa LVRLAC na Wadau uliofanyika Februari 24, 2022 jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: