LIVE STREAM ADS

Header Ads

Zaidi ya miti laki nne yakauka mwanza, RC ataka hatua ichukuliwe

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Zaidi ya miche laki nne iliyopandwa katika Mkoa Mwanza kwa kipindi cha mwaka 2021/22 inaelezwa kukauka kutokana na ukame uliosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi na hivyo wananchi kuhimizwa kuchukua hatua za utunzaji mazingira ili kukabiliana na hali hiyo.

Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel ameyasema hayo Machi 19, 2022 wakati akizungumza na wanahabari kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Upandaji Miti kitaifa na Siku ya Misitu Duniani yanayotarajia kufanyika Machi 21, 2022 wilayani Magu.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.