LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tambo za wafuasi wa Mfalme Zumaridi baada ya kuachiwa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Wafuasi 40 wa Mfalme Zumaridi wamepata dhamana Machi 09, 2022 baada ya kusota korokoroni kwa siku kadhaa wakiwa na mfalme wao huyo aliyekamatwa kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu. 

Katika tukio hilo, Mfalme Zumaridi alikamatwa Februari 26, 2022 akiwa na wafuasi 149, kwa mujibu wa RPC Mkoa Mwanza, Ramadhan Ng'anzi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.