LIVE STREAM ADS

Header Ads

Sherehe ya miaka 40 na mahafali ya 12 ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi mkoani Mwanza kili chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kimeandaa matukio mbalimbali kuanzia Disemba 06-08, 2022 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 tangu kuanzishwa pamoja na mahafali ya 12 ya wahitimu.
Matembezi ya miaka 40 ya utoaji ujuzi kwa jamii.
Mdahalo kuhusu uzoefu wa miaka 40 ya utoaji mafunzo ya uhandisi, ujenzi na maendeleo ya jamii.
Mdahalo kuhusu ukatili wa kijinsia na dawati la jinsia.
Shamra shamra za miaka 40 ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii na Ufundi Misungwi.
Mahafali ya 12 ya wahitimu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii na Ufundi Misungwi ni Disemba 08, 2022.
Mahafali ya 12 ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii, Ufundi Misungwi mkoani Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.