Wafanyabiashara Mwanza wasitisha mgomo
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wafanyabiashara jijini Mwanza wamesitisha mgomo wao ulioanza Juni 25, 2024 wakiitikia wito wa Serikali iliyoahidi kushughulikia kero zao kufuatia kikao cha maridhiano kilichofanyika baina ya viongozi wa kitaifa na Serikali. Ijumaa Juni 28, 2024 wafanyabiashara jijini Mwanza wamefungua maduka.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: