Wahitimu Chuo cha Misungwi CDTTI watakiwa kuwaza tofauti
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Zaidi ya wahitimu 600 wametunukiwa cheti cha awali, astashahada na stashahada ya uhandisi ujenzi na maendeleo ya jamii katika mahafali ya 14 ya chuo cha maendeleo ya jamii ufundi Misungwi (Misungwi CDTTI), yaliyofanyika Disemba 20, 2024.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Soma habari zaidi hapa
No comments: