TUKUTANE NDANI YA JB BELMONT HOTEL JIJINI MWANZA ILI KUSHEREHEKEA MIAKA MITANO YA KWA NEEMA RADIO.
Ni katika Kuadhimisha Miaka Mitano ya Kwa Neema Radio Jumatatu April Sita ndani ya JB Belmont Hotel. Tiketi zinapatika Kiloleli zilipo Ofisi za Kwa Neema Radio. Pia kutakuwa na Uzinduzi wa Vitabu Kulipenda Taifa pamoja na Mawazo ya Mabilionaire kutoka kwake Bishop Mpemba.
SOURCE:98.2 KWA NEEMA RADIO FM
 
 

 
 
 
 
 
No comments: