LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wananchi wilayani Kwimba wataka suluhisho kero zinazowakabili

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Ziara ya Mkuu wa Wilaya Kwimba, Senyi Ngaga katika Kijiji cha Dodoma, Kata ya Bupamwa. DC Ngaga anaendelea na ziara ya kuhamasisha maendeleo, kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za wananchi katika Kata zote 30 za Wilaya Kwimba.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Wilaya Kwimba, Senyi Ngaga akizungumza kwenye mkutano huo.
Wakazi wa Kata ya Bupamwa wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Kwimba, Senyi Ngaga alipofanya ziara katika Kata hiyo.
Mmoja wa wakazi wa Kata ya Bupamwa akiuliza swali kuhusu kero zinazowakabili wakazi wa Kata hiyo.
Mmoja wa wakazi wa Kata ya Bupwama akiuliza swali.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kwimba, Pendo Malabeja akitoa ufafanuzi kwenye mkutano huo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.